Muonekano wa Mradi wa Huduma za Upasuaji, Dharura za uzazi na mtoto mchanga kwenye Kituo cha Afya Haneti wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma kilichojengwa chini ya ufadhili wa watu na serikali ya Jamhuri ya Korea kwa urafiki uliopo na Tanzania.
Majengo yaliyojengwa ni jengo la afya ya mama na mtoto, wazazi, Maabara, jengo la kuhifadhia maiti, jengo la kufulia, nyumba ya mtumishi, kichomea taka pamoja na ununuzi wa vifaa tiba,(Picha: Ofisi ya Rais-TAMISEMI)