Majaliwa aanza ziara Katavi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Katavi, Disemba 12,2022