Majaliwa amuwakilisha Samia Mkutano SADC
DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Soma pia: https://www.instagram.com/p/C7L3ybbOuwT/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Waziri Mkuu anashiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Soma pia: https://habarileo.co.tz/afrika-kusini-yajivunia-mchango-wa-hayati-nyerere/