Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akimfariji mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dk Sam Nujoma, Kovambo Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru jijini Windhoek, Namibia leo Februari 28. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)