Makonda nyumbani kwa Hayati Magufuli

GEITA: MAMA Janeth Magufuli ambaye ni mjane wa Rais wa awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli amempokea Paul Makonda nyumbani kwake Chato mkoani Geita na kumfanyia maombi maalumu ya kumtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya kama Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi.

Pia Mama Janeth Magufuli alimsihi Makonda kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa bidii ili kufanikisha lengo la Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ilani ya chama.

Aidha Kiongozi huyo alisalimiana na Mama Mzazi wa Hayati Magufuli.

Makonda anaendelea na ziara yake katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo jana Novemba 10, 2023 aliingia Chato mkoani Geita akitokea Bukoba na kutembelea kaburi la Hayati Magufuli pamoja na kuzungumza na wakazi wa Wilaya Chato.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Heatherelvey
Heatherelvey
20 days ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 20 days ago by Heatherelvey
Angila
Angila
20 days ago

I get paid more than 90$ to 400$ per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this I (Qh)have earned easily $10k from this without having online working skills . Simply give it a shot on the accompanying site…
.
.
.
Here is I started.…………>> http://remarkableincome09.blogspot.com

Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x