Mambo safi Supu Day


DAR ES SALAAM; UNAAMBIWA mvua si kikwazo cha kujitokeza kunywa supu. Mashabiki na wanachama wa Yanga, pamoja wadau wengine wa timu mbalimbali nchini wapo makao makuu ta klabu ya Yanga makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam kunywa supu, ikiwa ni sehemu ya sherehe za ushindi wa mabao 1-5 waliyoupata dhidi ya Simba Novemba 5, 2023.




