Maofisa Michezo wasisitizwa kuibua vipaji ngazi ya chini Arusha

ARUSHA: Maofisa michezo nchini wametakiwa kuhakisha wanasimamia vyema suala la kuibua vipaji kuanzia ngazi za chini ili kuweza kuwa na wanamichezo mahiri na imara.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Maofisa Maendeleo Michezo (TASOA) Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI ) Yusuph Singo amsema lipo jukumu la kuibua vipaji na kuviendeleza ili kutekeleza malengo ya serikali katika kuwasidia vijana kufikia malengo yao.

“Michezo mingi imefifia kwenye ngazi zetu za chini na hatuwezi kuendelea bila kuanzia chini na katika kupata vipaji tuna pata kwenye tasisi zinazotambulika kama mashuleni, mashirikisho lakini pia tutapata kutoka mitaani na nyie huko mitaani kuna vipaji kwelikweli hivyo tunayo hiyo kazi kubwa ya kuibua sababu sisi tuko kila mahali, kwenye halmashauri zetu na kwenye mitaa,”amesema Singo.
Amesema pia lipo jukumu lingine la kuendeleza michezo mingine ili kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda vizuri na kusema Serikali imejitathimini na kuona kwamba kuna haja ya kujiimarisha kwenye taasisi zetu ili kuona kwamba tunasimamia vizuri na mifumo yetu inasoma vizuri na kufanya uboreshaji kwenye tasnia.

“Baada ya tathimini hiyo walikaa na kuamua kuanzisha kitengo cha Michezo, Utamaduni, Sanaa na Michezo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo sasa kazi zake pamoja na majukumu mengi yalioyop na majukumu ya msingi ni kuhakikisha wanashirikiana na kuwasimamia ili kuhakikisha kwamba Serikali inafikia malengo yake hasa katika kukuza tasnia hizi ambazo zimeorodheshwa katika viwango vya juu kuhakikisha kwamba mchango wetu unakuwa mkubwa itakapofika 2050,”.





JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity……….
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
Excellent work, Mike. I admire your effort because I currently generate more than $36,000 each month from just one simple online business! I am aware that you may start sb-03 earning a solid life online with as little as $29,000 and these are just basic internet operations tasks.
Click the link………>>> www.work27.online
Google pays $300 on a regular basis. My latest salary check was $8600 for working 10 hours a week on the internet. My younger sibling has been averaging $19k for the last few months, and he constantly works approximately 24 hours. I’m not sure how simple it was once I checked it out.
This is my main concern……………… www.work27.online