Maonyesho ya bidhaa za kuku kufanyika Dar

DAR ES SALAAM: Chama cha wafuga kuku Tanzania (The Poultry Association of Tanzania) kimeandaa maonesho ya siku mbili ya bidhaa za kuku yatakayofanyika Oktoba 13-14, 2023 Mlimani City jijini Dar es Salaam

Maonesho hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya nane hapa nchini yanatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega na yatahudhuriwa na washiriki wapatao 40 wa ndani na nje ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu maandalizi, mratibu wa maonesho hayo Sufian Zuberi amesema maandalizi yote yamekamilika na wameshasajili washiriki 40 kutoka ndani na nje ya nchi ikiwemo Afrika Kusini, Uholanzi, China na nchi nyingine.

“Tumepata muitikio mzuri wa washiriki na tunaamimi maonesho ya mwaka huu yatawawezesha watembeleaji kujifunza mambo mengi yanayohusiana na ufugaji bora wa kuku. Tunawashauri wakazi wa Dar waje kwa wingi kwenye maonesho haya ili wajifunze ufugaji bora wa kuku na pia wapate uelewa wa bidhaa za kuku.” amesema Sufiani na kuongeza kuwa hakuna kiingilio katika maonesho hayo.

Kwa mujibu wa takwimu rasmi, kuku hutoa 18% ya lishe ya Protini hapa nchini na ni moja ya vyanzo vya kipato kwa kaya Zaidi ya milioni nne.

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Royal
1 month ago

Making every month extra dollars by doing an easy job Online. Last month i have earned and received $18539 from this home based job just by giving this only mine 2 hrs a day. Easy to do work even a child can get this and start making money Online. Get this today by. follow instructions on this website…….. http://Www.SmartCash1.com

FloellaRainbow
FloellaRainbow
1 month ago

★My buddy’s mother makes $90 per hour working on the computer (Personal Computer). She hasn’t had a job for a long, ( t99q) yet this month she earned $15,500 by working just on her computer for 9 hours every day.
Click and Copy Here══════►►► http://Www.SmartCareer1.com

Julia
Julia
1 month ago

I’m being paid 185 dollars per hour to work on my home computer. I had no clue it was possible, but a close friend made $25,000 in four weeks by completing one outstanding job, and she persuaded me to join.
.
.
Detail Here——————————————————>>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x