Matukio uzinduzi toleo la sheria zilizofanyiwa urekebu

DODOMA: Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023 mjini Dodoma leo Aprili 23, 2025. (Picha zote na Ikulu).

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akisaini nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria, Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma.
Rais Dk Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali mara baada ya toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button