MICHEZO ya soka ya Ligi Kuu tano bora barani Ulaya inaendelea kwa patashika kwenye viwanja tofauti.
Manchester City inaongoza Ligi Kuu England ikiwa na pointi 23 baada ya mechi tisa wakati Ligi Kuu Hispania vinara ni Barcelona ikiwa na pointi 30 baada ya michezo 11.
SOMA: City, Arsenal ukilala umelaliwa
Huko Ujerumani katika Bundesliga, Bayern Munich inaongoza msimamo ikiwa na pointi 20 baada ya michezo nane.
Miamba ya Naples huko Italia, Napoli inaongoza Ligi Kuu ikiwa na pointi 25 baada ya michezo 10 wakati Ufaransa katika Ligue 1 vinara ni Paris Saint-Germain ikiwa na pointi 23 baada ya michezo tisa.
Michezo ya ligi hizo tano bora ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Newcastle United vs Arsenal
Bournemouth vs Manchester City
Ipswich Town vs Leicester City
Liverpool vs Brighton
Nottingham Forest vs West Ham United
Southampton vs Everton
Wolves vs Crystal Palace
LALIGA
Osasuna vs Real Valladolid
Girona vs Leganes
BUNDESLIGA
Bayern Munich vs Union Berlin
Eintracht Frankfurt vs VfL Bochum
Hoffenheim vs St. Paul
Holstein Kiel vs FC Heidenheim
Wolfsburg vs Augsburg
Borussia Dortmund vs RB Leipzig
SERIE A
Bologna vs Lecce
Udinese vs Juventus
Monza vs AC Milan
LIGUE 1
Paris Saint-Germain vs Lens
Brest vs Nice
Saint-Etienne vs Strasbourg