Mchinjita ajitosa ubunge Lindi Mjini

LINDI: MAKAMU Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kupitia chama hicho.

Mchinjita amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo la Lindi Mjini, Hamad Zuberi leo Aprili 23, 2025 katika Ofisi za Jimbo la Lindi Mjini.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button