Mchinjita akabidhiwa fomu ya uteuzi ubunge Lindi Mjini

LINDI: Isihaka Rashid Mchinjita amekabidhiwa fomu ya Uteuzi kuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Lindi Mjini kupitia Chama Cha Act Wazalendo.

Mchinjita amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini na Jimbo la Mchinga, Saidi Farhan Agosti 24,2025.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button