Mgomo wa daladala watingisha usafiri Kilimanjaro

HUDUMA za usafiri zimekumbwa na kadhia katika maeneo ya Marangu, Holili, Njiapanda na Mwanga baada ya madereva wa daladala kuanza mgomo leo asubuhi. Mgomo huo, ulioanza majira ya saa tatu asubuhi, umepelekea abiria wengi kutafuta usafiri huku wengine wakilazimika kutafuta njia mbadala ili kufika kazini au shule.
Madereva wanasema sababu ya mgomo ni kupinga bajaji kupakia abiria katika vituo vyao vya daladala, jambo linalopunguza wateja wao na kuathiri mapato ya kila siku. “Bajaji wamekuwa wakipakia abiria kwenye vituo vyetu, hivyo tunashinikiza mamlaka kuchukua hatua mara moja,” alisema kiongozi wa madereva wa daladala.
Mgomo huu umekwamisha usafiri katika miji midogo na vijiji, huku mamlaka za usafiri zikisubiri hatua zinazochukuliwa na pande zote husika. SOMA: Daladala zapigwa ‘pini’ unyanyasaji wanafunzi Dar

Harakati za Kupindua Nchi…. Nimenunua Meli na Ndege ya Kusafirisha Malighafi na Bidhaa toka Tanzania kwenda India
https://youtu.be/xFC6S2Bo_SU?si=K5kYsFY8p_V0aKA_
I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com
Harakati za Kupindua Nchi…. Nimenunua Meli na Ndege ya Kusafirisha Malighafi na Bidhaa toka Tanzania kwenda India
https://youtu.be/xFC6S2Bo_SU?si=K5kYsFY8p_V0aKA_
Harakati za Kupindua Nchi…. Nimenunua Meli na Ndege ya Kusafirisha Malighafi na Bidhaa toka Tanzania kwenda India.
https://youtu.be/xFC6S2Bo_SU?si=K5kYsFY8p_V0aKA_
Harakati za Kupindua Nchi…. Nimenunua Meli na Ndege ya Kusafirisha Malighafi na Bidhaa toka Tanzania kwenda India..