MAURITIUS : SERIKALI ya Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii nchini humo hadi uchaguzi utakapomalizika.
Uamuzi huu wa kuzuia mitandao ya kijamii umekuja baada ya kuwepo kwa mivutano ya kisiasa inayotaka kuvujisha mawasiliano ya simu .
Kwa mujibu wa mamlaka za mawasiliano nchini humo wamesema huenda huduma hizo za mitandao ya kijamii zinaweza kurejea 11 Novemba baada ya uchaguzi.
SOMA : TTCL kuimarisha usalama sekta ya mawasiliano