Mnyama kamili Zanzibar kuivaa Berkane

ZANZIBAR; Kikosi cha Simba tayari kimewasili Zanzibar leo Mei 21, 2025 tayari kwa mchezo wa marudiano fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane Jumapili wiki hii. Picha kwa hisani ya Simba.
–