MOF yawakilishwa Wasafi Iftar, Miriam Odemba asifu

DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO maarufu nchini Miriam Odemba kupitia Taasisi ya Miriam Odemba Foundation amesifu hatua ya Wasafi kuandaa gafla ya Iftar na kuwakutanisha wadau mbalimbali jana.

Mwakilishi wa Miriam Odemba Foundation, Raykhan akiwa na Mkurugenzi wa Wasafi Diamond Platnumz katika hafla hiyo jana.

Miriam aliwakilishwa na mdogo wake ambapo amesema: “Asante sana muwakilishi wangu mdogo wangu Raykhan kwa kuniwakilisha kwenye Wasafi iftari na Kuiwakilisha taasisi yetu ya Miriam Odemba Foundation inayosaidia watu wenye uhitaji maalum,” amesema Miriam.

Raykhan akiwa na DJ Romy Jones kwenye hafla hiyo

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button