Mpango mbadala waja kukabili upungufu madarasa

GEITA: MKOA wa Geita umeazimia kushirikisha wadau wa sekta ya elimu kuchangia ujenzi wa miundombinu kama mpango mbadala wa kukabili upungufu wa madarasa ifikapo mwaka 2028.

Aidha mkoa umeazimia kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Sheria ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) kwa wawekezaji wadogo na wa kati katika sekta ya madini ili wachangie kwenye sekta ya elimu.

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ametangaza maazimio hayo wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa cha kuidhinisha mpango mkakati wa miaka mitano (2025/31) wa ofisi ya mkuu wa mkoa.

Amesema tathimini inaonyesha kuwa mahitaji ya vyumba vya madarasa kwa kidato cha kwanza ifikapo mwaka 2028 ni 3,086 ingali yaliyopo kwa sasa ni madarasa 1,173 na upungufu ni madarasa 1,913.

Shigela amesema katika mwaka wa fedha 2026/27 bajeti ya elimu sekondari ni sh bilioni 20.6 kati yake kiasi cha sh milioni 327 kimetengwa maalum kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Amesema baada ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka huo wa fedha, upungufu wa madarasa utasalia vyumba 1,589 sawa na bajeti ya Sh bilioni 39 kwa wastani wa Sh milioni 25 kwa chumba kimoja.

“Tutafanya kikao cha wadau wa elimu, tutengeneze mchanganuo vizuri kwenye kila halmashauri, kila jimbo mpaka ngazi ya kata ili tuone upungufu tulionao katika maeneo yetu.

“Tushirikishe madiwani na watendaji wote, na viongozi wengine wanaohusika ikiwemo wabunge pia, ili tupeane wajibu wa kwenda kushirki katika jambo hili”, amesema Shigela.

Katibu Tawala Msaidizi, Mipango na Uratibu, Deodatus Kayango amesema sekta ya elimu msingi na sekondari kiasi cha Sh bilioni 24.2 kinatarajiwa kutumika kwa mwaka ujao wa fedha.

Kayango amesema kwa upande wa elimu sekondari kutakuwa na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa 46, ujenzi wa shule mpya nne za sekondari, maabara pamoja na nyumba za walimu

Ifahamike kuwa ongezeko la vyumba vya madarsa linatokana na mabadiliko ya mtaala wa elimu ya msingi unaolazimu wanafunzi wa darasa la sita na darasa la saba kuhitimu kwa pamoja ifikapo mwaka 2028.

Takribani wanafunzi 194,172 wanatarajia kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2028 mkoani Geita kati yao 115,706 watakua ni wahitimu wa darasa la sita huku 78,466 ni wahitimu darasa la saba.

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    ### 🖊️ Nafasi 363 za Wahariri wa Kitabu

    Kampuni yetu ya **WAJA Company Ltd** inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi **363 za Wahariri (Editors)** kwa ajili ya kuhariri kitabu kinachoitwa:

    ***“Orodha ya Mambo Yasiotakiwa Kwenye Jamii na Yanayomkera Sana Bossi Wetu wa Kitanzania”***

    ### 📌 Majukumu ya Kazi

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi ya kitabu (lugha, sarufi, mtiririko na mpangilio).
    * Kuboresha muundo wa maudhui ili yawe rahisi kusomeka na kueleweka.
    * Kutoa mapendekezo ya kitaalamu bila kupotosha ujumbe wa mwandishi.
    * Kufanya kazi kwa ukaribu na timu ya uandishi na wahariri wengine.

    ### ✅ Sifa za Mwombaji

    * Awe Mtanzania.
    * Awe na elimu ya angalau Stashahada (Diploma) au zaidi katika Lugha, Uandishi wa Habari, Fasihi, Mawasiliano au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu, makala au machapisho ya kitaalamu.
    * Uwezo mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Awe mwadilifu, makini na mwenye kuheshimu maadili ya kazi.

    ### 📍 Eneo la Kazi

    * Kazi inaweza kufanyika ofisini au kwa mfumo wa mtandaoni (remote), kulingana na makubaliano.

    ### 💰 Maslahi

    * Mshahara mzuri na motisha kulingana na uzoefu na utendaji.
    * Fursa ya kufanya kazi katika mradi mkubwa wa kitaifa.
    * Cheti cha ushiriki baada ya kukamilisha mradi.

    ### 🗓️ Jinsi ya Kuomba

    Tuma:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti
    * Mfano wa kazi uliowahi kuhariri (kama upo)

    Kupitia barua pepe: **[hr@wajacompany.co.tz](mailto:hr@wajacompany.co.tz)**
    Mwisho wa kupokea maombi: **Ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo hili.**

    📞 Kwa mawasiliano zaidi: 0714644157

    **Imetolewa na:
    WAJA Company Ltd
    Idara ya Rasilimali Watu**

    Kuoa mwanamke wa kabila yako Mali ni Ng’ombe Ngapi?

    https://youtu.be/eQ2I00mAX88?si=1rGm73dUZsZ5vaaz

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    ### 🖊️ Nafasi 363 za Wahariri wa Kitabu

    Kampuni yetu ya **WAJA Company Ltd** inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba nafasi **363 za Wahariri (Editors)** kwa ajili ya kuhariri kitabu kinachoitwa:

    ***“Orodha ya Mambo Yasiotakiwa Kwenye Jamii na Yanayomkera Sana Bossi Wetu wa Kitanzania”***

    ### 📌 Majukumu ya Kazi

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi ya kitabu (lugha, sarufi, mtiririko na mpangilio).
    * Kuboresha muundo wa maudhui ili yawe rahisi kusomeka na kueleweka.
    * Kutoa mapendekezo ya kitaalamu bila kupotosha ujumbe wa mwandishi.
    * Kufanya kazi kwa ukaribu na timu ya uandishi na wahariri wengine.

    ### ✅ Sifa za Mwombaji

    * Awe Mtanzania.
    * Awe na elimu ya angalau Stashahada (Diploma) au zaidi katika Lugha, Uandishi wa Habari, Fasihi, Mawasiliano au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu, makala au machapisho ya kitaalamu.
    * Uwezo mzuri wa lugha ya Kiswahili (na Kiingereza itakuwa faida).
    * Awe mwadilifu, makini na mwenye kuheshimu maadili ya kazi.

    ### 📍 Eneo la Kazi

    * Kazi inaweza kufanyika ofisini au kwa mfumo wa mtandaoni (remote), kulingana na makubaliano.

    ### 💰 Maslahi

    * Mshahara mzuri na motisha kulingana na uzoefu na utendaji.
    * Fursa ya kufanya kazi katika mradi mkubwa wa kitaifa.
    * Cheti cha ushiriki baada ya kukamilisha mradi.

    ### 🗓️ Jinsi ya Kuomba

    Tuma:

    * Barua ya maombi
    * Wasifu binafsi (CV)
    * Nakala za vyeti
    * Mfano wa kazi uliowahi kuhariri (kama upo)

    Kupitia barua pepe: **[hr@wajacompany.co.tz](mailto:hr@wajacompany.co.tz)**
    Mwisho wa kupokea maombi: **Ndani ya siku 14 tangu tarehe ya tangazo hili.**

    📞 Kwa mawasiliano zaidi: 0714644157

    **Imetolewa na:
    WAJA Company Ltd
    Idara ya Rasilimali Watu**

    Kuoa mwanamke wa kabila yako Mali ni Ng’ombe Ngapi?.

    https://youtu.be/eQ2I00mAX88?si=1rGm73dUZsZ5vaaz

  3. ## 📢 TANGAZO LA AJIRA

    —.
    Kuoa mwanamke wa kabila yako Mali ni Ng’ombe Ngapi?

    https://youtu.be/eQ2I00mAX88?si=1rGm73dUZsZ5vaaz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button