Mpoto kwenye tukio kubwa mawasiliano

Mpoto kwenye tukio kubwa mawasiliano

MSANII Mrisho Mpoto akitumbuiza na kundi lake la Mjomba Band wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya kupeleka huduma ya mawasiliano nchini inayofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma leo, Mei 13, 2023.