MECHI za kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) 2025 Morocco zinaendelea leo kwenye viwanja kadhaa.
Baada ya Tanzania kupoteza mchezo wake dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kwa bao 1-0 Oktoba 10, timu ya taifa ‘Taifa Stars’ itarudiana na nchi hiyo Oktoba 15 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
SOMA: Taifa Stars katika mtihani kufuzu AFCON leo
Michezo 16 ya makundi mbalimbali itafanyika kama ifuatavyo:
KUNDI A
Madagascar vs Gambia
Tunisia vs Comoros
KUNDI B
Gabon vs Lesotho
KUNDI C
Misri vs Mauritania
KUNDI D
Benin vs Rwanda
Nigeria vs Libya
KUNDI E
Equatorial Guinea vs Liberia
KUNDI F
Angola vs Niger
KUNDI G
Zambia vs Chad
Ivory Coast vs Sierra Leone
KUNDI I
Msumbiji vs Eswatini
Mali vs Guinea-Bissau
KUNDI J
Cameroon vs Kenya
KUNDI K
Uganda vs Sudan Kusini
Afrika Kusini vs Congo
KUNDI L
Senegal vs Malawi