Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

BANGKOK, Thailand: WAKATI wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman Kilonda aliyewekeza jijini Bangkok nchini humo kwa kumiliki kiwanda cha kushona na kuchapisha fulana cha Sk Export.

Mbali na kumiliki kiwanda, Suleimani amefungua maduka ya kuuza nguo za aina mbalimbali zenye chapa zake za African Man, African Queen, Town Totoz na King Kaka ambapo ameajiri wafanyakazi wapatao 200.

Katika mahojiano maalum, Suleiman alisema malengo yake ni kufungua kiwanda kikubwa nchini Tanzania chenye uwezo wa kuajiri watanzania wengi na kutumika kama sehemu ya kujifunzia kwa kila mtanzania mwenye ndoto za kumiliki kiwanda cha nguo.

‘’Tayari nimeshanunua sehemu ya kufungua kiwanda nchini Tanzania katika eneo la Mlandizi ramani ninayo ya aina ya kiwanda ninachotaka kukifungua lakini changamoto bado natafuta fedha za kuanza ujenzi, nimejaribu kwenda kwenye baadhi ya taasisi za fedha lakini bado sijafanikiwa. Ombi langu langu kwa Serikali ni kuniwezesha kufikia ndoto hiyo ambayo itawasaidia na watanzania wenzangu kupitia mimi,’’ amesema Suleiman.

Ameongeza kuwa, malengo ni kujenga kiwanda chenye uwezo wa kuajiri watu 2,500 na uwezo wa kuzalisha nguo 100,000 kwa siku.

Kwa upande wake, Afisa Mipango Miji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Michael Majebele amesema Mipango yake ya  uwekezaji ni mzuri  tija kwa taifa, kuanzia kwenye suala la ajira, kodi na kubadilishana ujuzi hivyo  na kueleza kuwa,  mwekezaji huyo anakaribishwa TIC ili aweze  kusajili mradi wake jambo ambalo  litamwezesha kufurahia vivutio vya uwekezaji vinavyotolewa nchini ambavyo vitamsaidia  kwenye kupunguza gharama za uanzishaji wa kiwanda chake.

Majebele aliongeza kuwa, mwekezaji huyo anashauriwa kukutana na benki yoyote ya Tanzania ili iweze kumsaidia kwenye masuala yake ya kifedha pale anapokidhi vigezo vyao walivyojiwekea.

Naye, Meneja wa Biashara kutoka Tume ya Madini, George Kaseza alimweleza kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali zilizopo katika Sekta ya Madini ambazo anaweza kuzitumia ili kutanua wigo wake wa kiuwekezaji.

Kwa upande wake, Mratibu wa Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) Daniel Kidesheni alitoa zawadi kutoka katika kituo hicho kama shukrani kwake ya ukarimu kwa wageni  wanaomtembelea.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
money
money
2 months ago

ULIMWENGU WA NDOTO

One.         DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE
Two.        MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA
Three.                       MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU 
Four.      MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA
Five.         MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE
Six.                MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR
Seven.                      MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS
Eight.    MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI
Nine.     MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI
Ten.           MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS
Eleven.                  MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Twelve.               MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana

Dona
Dona
Reply to  money
2 months ago

I g­e­t­ o­v­e­r­ ­­2­5­k­ ­u­s­d­ ­a­ ­m­o­n­t­h­ ­w­o­r­k­i­n­g­ ­p­a­r­t­ ­t­i­m­e­.­ ­I­ ­k­e­p­t­ ­h­e­a­r­i­n­g­ ­o­t­h­e­r­ ­p­e­­o­p­l­e­ ­t­e­l­l­ ­m­e­ ­h­o­w­ ­m­u­c­h­ ­m­o­n­e­y­ ­t­h­e­y ­c­a­n­ ­m­a­k­e­ ­o­n­l­i­n­e­ ­s­o­ ­I­ ­d­e­c­i­d­e­d­ t­o l­o­o­­k ­i­n­t­o­ i­t. W­e­l­l­,­ ­i­t­ w­a­s­ ­a­l­l­ ­t­r­u­e ­a­nd h­a­s to­t­a­l­ly ch­a­n­g­e­d­ ­m­y l­i­f­e­…T­h­i­s i­s w­h­a­t I­ d­o,C­o­p­y B­e­l­l­o­w ­W­e­b­s­i­t­e

Just open the link———————->> http://Www.Smartcash1.com

Last edited 2 months ago by Dona
money
money
2 months ago

ULIMWENGU WA NDOTO…

One.         DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE
Two.        MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA
Three.                       MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU 
Four.      MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA
Five.         MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE
Six.                MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR
Seven.                      MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS
Eight.    MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI
Nine.     MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI
Ten.           MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS
Eleven.                  MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Twelve.               MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana

money
money
2 months ago

ULIMWENGU WA NDOTO

One.         DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE
Two.        MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA
Three.                       MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU 
Four.      MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA
Five.         MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MAJI
Six.                MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR
Seven.                      MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS
Eight.    MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI
Nine.     MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI
Ten.           MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS
Eleven.                  MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Twelve.               MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana

MONEY
MONEY
1 month ago

WIZARA YA NDOTO

HOTUBA YA WIZARA YA NDOTO

ULIMWENGU WA NDOTO

One. DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE

Two. MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA

Three. MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU

Four. MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA

Five. MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE

Six. MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR

Seven. MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS

Eight. MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI

Nine. MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI

Ten. MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS

Eleven. MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Twelve. MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana

Fursa BABA YETU ULIE MBINGUNI NA BWANA YESU ASIFIWE – IMPORT WATU FROM US TO TZ……..

UKIKUTANA NA MZUNGU AKUPE BRIEFCASE YA HELA UTEKELEZE VYOTE MWENYEWE

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

Capture1.JPG
Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x