Mwenge wa Uhuru watua Kilosa

MKUU wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka (kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye makabidhiano eneo la Ruaha kutoka wa mwezake wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya kuanza mbio zake wilayani humo Aprili 18,2025.



