Nay aitikia wito polisi central

MSANII wa ‘Hip Hop’ Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefika kituo cha polisi cha kati ‘Police Central’ Dar es Salaam kuitikia wito kuhusu wimbo wa Amkeni.

Rapa huyo amewasili kituoni hapo akiwa na mwanasheria wake, Jebra Kambole.

Akizungumza mara badaa ya kuwasili Nay amesema “Ukiwa sauti ya watu kuja sehemu kama hii ni kawaida, mimi ni sauti ya watu acha nikawasikilize nitakuwa na cha kuongea lakini kwa sasa sina.” Amesema Nay.

Mwezi uliopita Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ilieleza katika taarifa yake kuwa baada ya kupokea taarifa ya Baraza la Sanaa (BASATA) kufungia wimbo huo kwa madai ya maudhui yake kuwa na mwelekeo wa wananchi kutokuwa na imani na serikali, mamlaka hiyo ilivitaka vyombo vya habari kutoutumia wimbo hu

Habari Zifananazo

5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button