Onana akubali lawama

MPAKA sasa kipa wa Manchester United, Andre Onana ameruhusu mabao 14 katika michezo sita msimu huu.

Kati ya mabao hayo, manne ameruhusu katika mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munchen ulioisha kwa United kupoteza mabao 4-3 Allianz Arena.

Stori kubwa katika mabao hayo ni namna alivyofungwa bao la kwanza lililofungwa na Leroy Sane ambapo baada ya mechi Onana amekubali makosa na kubeba lawama zote.

Ni wajibu wangu kwa sababu yangu ndio maana hatukushinda na lazima nijifunze kutokana na hilo, nina mengi ya kuthibitisha kwa sababu kusema ukweli mwanzo wangu Man United sio mzuri sana, ni mimi niliyeiangusha timu.” Amesema Onana.

Jumamosi katika mwendelezo wa EPL, United itacheza na Burnley, Jumanne Oktoba 3 itakuwa Old Trafford kuwakaribisha Galatasaray Ligi ya Mabingwa.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
CarolVillarreal
CarolVillarreal
2 months ago

I am now making more than 350https://s.w.org/images/core/emoji/14.0.0/svg/1f4b0.svg dollars per day by working online from home without investing any money.Join this link posting job now and start earning without investing or selling anything……. 
🙂 AND GOOD LUCK.:)..____ http://Www.Careers12.com

Last edited 2 months ago by CarolVillarreal
Julia
Julia
2 months ago

Making an extra $15,000 per month from home by doing easy copy and paste type internet work. I earned $18,000 from this simple at-home job. Everyone may now easily generate additional money online.
.
.
Detail Here——————————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

MONEY
MONEY
2 months ago

MTONYO:- NHC, WATUMISH HOUSING, TBA TWENDE ZAMBIA

144.Mheshimiwa Spika, vilevile, Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 imeanza kutekeleza mradi wa kuendeleza viwanja vya Serikali jijini Lusaka, Zambia kwa kiasi cha Kwacha 500,000,000 (takriban shilingi bilioni 66.1) kwa kutumia utaratibu maalumu katika ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Zambia. Mradi huu unahusisha ujenzi wa majengo 10 kama inavyoonekana kwenye Kiambatisho Na. II cha Hotuba hii. Hadi Aprili 2023 Wizara imekamilisha tathmini ya zabuni za kampuni za ushauri elekezi zilizowasilisha maombi ya kuonesha nia (expression of interest) ya kusanifu majengo hayo. Zabuni ya kazi ya usanifu wa majengo hayo imetangazwa mwezi Mei 2023, na tuzo ya zabuni kwa kampuni zilizoshinda inatarajiwa kutolewa mwezi Juni 2023

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x