Papa Benedict wa 16 afariki dunia

Papa Benedict wa 16 afariki dunia

Papa Benedict wa 16 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.

Taarifa kutoka Vatican zinasema  kiongozi wa zamani wa Kanisa Katoliki duniani, amefariki dunia leo asubuhi mjini Vatican.

Advertisement
Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *