Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Philip Mpango akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social
Innovation) kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.