DAR ES SALAAM – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshuhudia juhidi za uokozi baada ya jengo la ghorofa kuporomoka na kuua katika eneo lenye wafanyabiashara zaidi jijini Dar es Salaam – Kariakoo.
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole na kutaka utulivu.
Hizi hapa ni baadhi ya picha kattika ajali hiyo.