Picha: Kumekucha ujenzi chuo kikuu

RUKWA; Rais Dk Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Kianda Mkoani Rukwa Julai 17, 2024.

Advertisement