Picha: Majaliwa afungua usambazaji matokeo sensa
LINDI; Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 02, 2024 anafungua mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa 2022 kwa viongozi, watendaji na makundi mbalimbali kutoka Wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, hafla hiyo inafanyika katika Viwanja vya Madini, Ruangwa mkoani Lindi.