(Picha) Nape atinga Mwanza

MWANZA: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda wakati wa mkutano wa kupokea taarifa ya Hali ya Mawasiliano kwa mkoa wa Mwanza kutoka kwa viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), uliowashirikisha pia viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza, wakuu wa taasisi na watoa huduma Julai 18, 2024 kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sengerema, Wilaya ya Sengerema.

 

Advertisement