MWANZA; Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda wakiwa katika boti ya mwendokasi, wakati wa safari ya kuelekea Kisiwa cha Lyakanyasi Wilaya ya Sengerema kukagua mnara wa Vodacom uliojengwa kwa ruzuku ya Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Julai 18, 2024.

