PICHA: Rais Samia akiwasili Jengo la Umoja

PRETORIA – Rais  Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Juni 19, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ahudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa katika Viwanja vya Jengo la Umoja, Pretoria nchini humo leo Juni 19, 2024.

Habari Zifananazo

Back to top button