Picha: Rais Samia akizindua Benki ya Ushirika

DODOMA;Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo jijini Dodoma leo Aprili 28, 2025. (Picha na Ikulu)

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button