PICHA: Rais Samia azindua tume maboresho ya kodi

RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 04,2024.

Advertisement

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.