PICHA: Rais Samia tamasha kizimkazi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar Agosti 25.