Picha: Samia akizungumza na wananchi Laela

RUKWA; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Laela mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa leo Julai, 17, 2024. (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano, Ikulu).

Advertisement