KAGERA; Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye, alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa ajili ya kuanza ziara yake ya kukagua ujenzi wa minara ya mawasiliano ya simu katika Wilaya ya Muleba na Biharamulo mkoani humo leo Julai 16, 2024.
Soma:Laki nane wanufaika na minara 47 Kigoma