DAR ES SALAAM; Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam mchana wa leo Julai 18, 2024 tayari kwa safari ya Afrika Kusini ambako imealikwa kwa mashindano maalumu ya Toyota Cup na mashindano ya TS Galaxy. (Picha ya mtandao wa Yanga).

