Rais Samia aaga, aondoka UAE

Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali na kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC), mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), lep Februari 6, 2026.


Rais Samia, alishiriki kwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS). (Picha na Ikulu)



