

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kabla ya kufungua Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary jijini Dar es Salaam leo Oktoba 29.
Mkutano huo ni Kongamano la kielimu linalofanyika kila mwaka ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Bara la Afrika na Asia.(Picha na Ikulu Mawasiliano)