Rais Samia akisalimia sherehe za Muungano

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Aprili 26, 2024.

Habari Zifananazo

Back to top button