Rais Samia aomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II

Rais Samia aomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza,  aliyefariki dunia jana nchini Uskochi.

Rais Samia amesaini Kitabu hicho katika makazi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

Advertisement

 

/* */