Rais Samia aongoza kikao NEC

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo Julai 09,2023 katika Ukumbi wa (White House) Jijini Dodoma .

Habari Zifananazo

Back to top button