Rais Samia atoa maelekezo mafuriko Manyara

Rais Samia

UAE; Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole na kutoa maelekezo kwa vyombo vinavyoshughulikia maafa yaliyotokea katika kijiji cha Katesh, Wilayani Hanang mkoani Manyara.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *