Rais Samia atuma salamu kifo cha Papa Francis

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa waumini wa Kanisa Katoliki kutokana na kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, aliyefariki dunia leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 88.
“Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Katika kipindi chote cha miaka 12 akiwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko ameishi maisha yake kama mwalimu na kiongozi aliyefundisha na kuhimiza ustawi na maendeleo ya watu pamoja na kudumisha amani.
“Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatuma salamu za pole kwa waumini wote wa Kanisa Katoliki hapa nchini na duniani kote. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema Peponi.Amina,” ameandika Rais Samia kwenye ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii.-
Phim sex clip sex Việt Nam
Very well written. Looking forward to more posts like this!
I’m getting 88 D0llars consistently to deal with net. Q I’ve never accepted like it tends to be reachable anyway one of my most noteworthy buddy got D0llars 27,000 D0llars in three weeks working this basic task and she impacted me to avail…
Take A Look Here….> http://Www.HighProfit1.Com