Rais Samia awasili Marekani kwa ziara ya kikazi

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa Wakuu wa Nchi wa Afrika na Marekani utakaohusu masuala mbalimbali ya maendeleo pamoja na mikutano mingine ya kimkakati, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus amesema.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button