Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa Ethiopia

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia. (Picha na Ikulu)





