RC Kindamba “wachochezi wapuuzwe”

WATANZANIA  wametakiwa kuchukua tahadhari na watu ambao wanatoa lugha za uchonganishi na ubaguzi zenye lengo la kuvuruga amani ya nchi

Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba wakati akifungua warsha ya uelimishaji wa umma kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya maendeleo ya mwaka 2050 Mkoani humo.

Rc Kindamba amesema  zoezi hilo litasaidia kujenga uelewa kwa viongozi kuanzia ngazi ya Mkoa, wilaya na Halmashauri kuhusu mchakato wa maandalizi ya dira ya maendeleo ya 2050 ambapo amewataka wananchi kuwapuuza wale wote wenye nia ovu kuhusu zoezi hilo.

“Hiki tunachokifanya Leo kitakuwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea Tanzania tuitakayo mwaka 2050 hivyo mpango huu sio Kwa ajili ya kundi fulani bali tutoe maoni yetu Kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu na sisi wananchi wenyewe”amesema RC Kindamba.

Nae Mwenyekiti kamati ya uandishi dira ya Taifa ya maendeleo 2050 Gladness Salema amesema kuwa zoezi hilo ni la kimkakati hivyo lazima kazi hiyo ifanyike kwa uaminifu na uadilifu.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MelissaMartin
MelissaMartin
2 months ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://webonline76.blogspot.com/

Last edited 2 months ago by MelissaMartin
jeeeena
jeeeena
Reply to  MelissaMartin
2 months ago

I am making really good money (80$ to 100$ / hr. )online from my laptop. I was greatly surprised at the same time as my neighbour advised me she changed into averaging $100 however I see the way it works now. sd370 I experience mass freedom now that I’m my non-public boss.
Everybody should start earning money online by
.
.
using this website____ https://fastinccome.blogspot.com/

Last edited 2 months ago by jeeeena
penejoc177
penejoc177
Reply to  MelissaMartin
2 months ago

My buddy’s mother-in-law gets $80 an hour on the internet. she has been without work for 12 months but last month her earnings was $16778 just working at home for a few hours per week.
.
.
check out this site………… http://www.join.salary49.com

Last edited 2 months ago by penejoc177
Julia
Julia
2 months ago

Working part-time and making an extra $15,000 or more online is a simple and quick method to gain money. I earned $17,000 in the previous month by working in my spare time, and I am really happy now as a result of this job.
.
.
Detail Here———————————————————>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x