Ronaldo aweka tatu, Mane wamoto

CRISTIANO Ronaldo amefunga mabao matatu ‘hat-trick’ kwa mara ya kwanza tangu alipojiunga na Al Nassr huku Sadio Mane akifunga mawili katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Al Fateh.

Katika mchezo huo uliochezwa usiku wa jana, Mane alikuwa wa kwanza kufunga dakika ya 28 akitumia pasi ya Ronaldo.

Baadaye Ronaldo alifunga mawili kabla ya Mane kufunga bao la pili. Ronaldo alipiga msumari wa tatu katika dakika za mwisho akitumia pasi ya Nawaf Boushal.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button