Saka nje wiki nne

ENGLAND: Mshambuliaji wa Arsenal, Bukayo Saka atakosa michezo minne ambayo itapigwa ndani ya wiki nne baada ya kumia Jumamosi iliyopita katika mchezo dhidi ya Leeds ulioisha kwa Arsenal kushinda 5-0 uwanja wa Emirates.

Saka atakosa michezo dhidi ya Liverpool wikiendi hii, Nottinham Forest, Manchester City na Newcastle United.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button