Salome Makamba atwaa fomu ubunge uwakilishi wanawake

SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Salome amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Shinyanga Habiba Musimu.

CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu

Kabla ya kuchukua fomu Salome ametumiia usafiri wa baiskeli ambao hutumika zaidi katika jamii ya wasukuma huku akiomba dua za watanzania ili aweze kuteuliwa kuwania nafasi ili kuendeleza gurudumu la kuwatumikia wanashinyanga.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button